RAIS DKT SAMIA AMEZINDUA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI JIJINI TANGA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, February 27, 2025

RAIS DKT SAMIA AMEZINDUA UGAWAJI WA MITUNGI YA GESI JIJINI TANGA





MATUKIO mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari 27, 2025 mkoani Tanga. 


Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. 


 Rais Samia leo hii anazindua ugawaji wa mitungi ya gesi (LPG) kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.


No comments:

Post a Comment