UCHAGUZI HUU SI WA MAJARIBIO NI MAISHA YETU - DKT. BITEKO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Saturday, September 6, 2025

UCHAGUZI HUU SI WA MAJARIBIO NI MAISHA YETU - DKT. BITEKO



NA MWANDISHI WETU

“Uchaguzi wa mwaka 2025 sio wa majaribio bali ni Uchaguzi unaohusu maisha yetu, Afya zetu, Elimu ya watoto wetu, Barabara zetu, Maji kwa ajili ya familia zetu. Wanambogwe na watanzania tunajukumu moja la kujitokeza kwa wingi tarehe 29 Oktoba kupiga kura za kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wetu” 


Mgombea wa kiti cha Ubunge Jimbo la Bukombe,  Doto KimBiteko amesema hayo Septemba 5, 2025 wakati akiwasalimia wananchi wa Mbogwe kwenye Kampeni za Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia CCM, Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi zilizofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Masumbwe, Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment