MAKAMU WA RAIS, FAMILIA YAKE WASHIRIKI MISA TAKATIFU DODOMA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, August 30, 2026

MAKAMU WA RAIS, FAMILIA YAKE WASHIRIKI MISA TAKATIFU DODOMA


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.

No comments:

Post a Comment