BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, March 29, 2017

BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiimba wimbo wa uzalendo wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi yake Dodoma Machi 28, 2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa uzalendo wakati wa mkutano wao wa mwaka katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma.
Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Flora Bilauri akitoa neno la utangulizi wakati mkutano wao wa mwaka uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo Dodoma Machi 28, 2017.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiwasilisha hotuba yake wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi yake ukumbi wa mikutano Dodoma Machi 28, 2017.

No comments:

Post a Comment