HABARI habari ambazo zimetufikia hivi pinde zinasema kuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe ametaka msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki ' Ney wa Mitego aachiwe huru baada.
Msanii alikamatwa mkoani Morogoro juzi saa chache baada ya kumaliza onesho lake na kurejeshwa jijini Dar es Salaam na leo alitakiwa kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kusomewa shtaka lake kwa mara ya kwanza baada ya kudaiwa kuachia wimbo unaoitwa Wapo unaodaiwa kuikashifu Serikali ambao unasikika kupitia katika mitandao.

Dk. Mwakyembe alisema kuwa baada ya tukio la kukamatwa kwa nyota huyo na baada ya Rais Dk. Magufuli kuusikiliza akabaini kuwa wimbo huo ni mzuri ingawa kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa ili kuuboresha.
Nilizungumza na Rais na kuniambia kuwa wimbo huo ni mzuri ingawa kuna vitu vinahitajika kuongezwa ili kuuboresha kwa maana yaliyozungumzwayapo katika jamii ya sasa,"alisema.
Cioo

No comments:
Post a Comment