MTANZANIA PATRICIA AONGOZA KATIKA SHINDANO LA REGIONAL LEVEL, CHARLOTTE, NC - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, March 29, 2017

MTANZANIA PATRICIA AONGOZA KATIKA SHINDANO LA REGIONAL LEVEL, CHARLOTTE, NC



Patricia Tayn mtoto wa mama Mtanzania anayesoma Blessed Sacrament Middle School ya Burlington, North Carolina ameibuka mshindi akiwa msichana pekee kwenye mashindano ya Regional level katika masomo ya Sayansi na hisibati yaliyofanyika Charlotte, North Carolina March 24 mwaka huu.
Patricia Tayn mwanafunzi wa kwanza kushoto (mwenye fulana ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wengine kutoka shule mbalimbali jimbo la North Carolina walioshiriki shindano hilo.
Wapili toka kushoto ni Patricia Tayn akiwa katika picha ya pmoja n familia yake. wakwanza kushoto ni mama yake Scolla Tayn na watatu toka kushoto ni Bwn. Tayn baba ya Patricia.

No comments:

Post a Comment