News Alert!! MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, March 14, 2017

News Alert!! MBUNGE WA NYAMAGANA,MWANDISHI WA HABARI WAPATA AJALI YA GARI NA TREKTA


SeeBait


Watu watano akiwemo mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi John Dotto  na mbunge wa Nyamagana Mkoani Mwanza Stanslaus Mabula wamenusurika kifo baada ya kupata ajali eneo la Dumila mkoani Morogoro.

Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo imehusisha gari lao kugongana na Trekta lililokuwa likingia bila tahadhari barabara kuu .


Majeruhi hao wamelazwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro.

 Chanzo: Mwandishi wa ITV Morogoro Vedasto Msungu
You might also like:

No comments:

Post a Comment