Rais Samia azungumza Na Wawekezaji Katika Mkutano Wa Kuitangaza Tanzania, Davos Nchini Uswizi - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, January 19, 2023

Rais Samia azungumza Na Wawekezaji Katika Mkutano Wa Kuitangaza Tanzania, Davos Nchini Uswizi

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifafanua fursa mbalimbali za Uwekezaji zinazopatikana nchini kwenye mkutano wa kuitangaza Tanzania uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na Wawekezaji wakati wakitazama video ya kuitangaza Tanzania katika Sekta mbalimbali za Uwekezaji kwenye mkutano uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023.


No comments:

Post a Comment