Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daudi Mbaga, alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Nane Nane jijini Mbeya.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Abbas Kandila kuhusu ya fursa za Uwekezaji wa Pamoja kwa wananchi waliofika katika Maonesho ya Nane Nane Jijini Mbeya.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daudi Mbaga, alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Nane Nane jijini Mbeya.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daudi Mbaga, alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya Nane Nane jijini Mbeya.

No comments:
Post a Comment