Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud pamoja na viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili Ngurdoto Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais wa Kenya Mhe. William Ruto wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto jijini Arusha tarehe 23 Novemba, 2023








No comments:
Post a Comment