DKT. BITEKO ASHIRIKI SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA JIMBO LA MAFINGA. - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, March 19, 2024

DKT. BITEKO ASHIRIKI SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA JIMBO LA MAFINGA.


NA MWANDISHI WETU

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto  Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala.


Sherehe zimefanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu jimboni Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.


Jimbo hilo jipya la Mafinga limezaliwa kutoka Jimbo la Iringa.





No comments:

Post a Comment