TCAA NA LATRA WATEMBELEA BANDA LA TMA MAONYESHO YA NANENANE - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, August 6, 2024

TCAA NA LATRA WATEMBELEA BANDA LA TMA MAONYESHO YA NANENANE

 

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Hamza Johari na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) CPA Habibu Suluo, wametembelea banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) kwenye maonesho ya Kilimo ya Kimataifa Nanenane, Dodoma Agosti 05,2024.



No comments:

Post a Comment