DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA 13 CHA KAMATI YA TAIFA YA USHAURI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, December 15, 2024

DKT. YONAZI AONGOZA KIKAO CHA 13 CHA KAMATI YA TAIFA YA USHAURI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akizungumza jambo wakati akiongoza kikao cha 13 cha Kamati ya Taifa ya Ushauri ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 kilichofanyika tarehe 15 Disemba, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam (JINCC).


Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 ,Anne Makinda (wa pili kutoka kushoto) na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Haji Hamza (wa kwanza kushoto) wakituatilia kikao cha 13 cha Kamati ya Taifa ya Ushauri ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 kilichofanyika tarehe 15 Disemba, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam (JINCC).

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa akizungumza jambo wakati wa kikao cha 13 cha Kamati ya Taifa ya Ushauri ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 kilichofanyika tarehe 15 Disemba, 2024 katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msingwa akizungumza wakati wa kikao cha 13 cha Kamati ya Taifa ya Ushauri ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 kilichofanyika tarehe 15 Disemba, 2024 katika ukumbi wa JNICC Dar es Salaam.


(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)



No comments:

Post a Comment