KAMISHNA NCAA ATEMBELEA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, July 11, 2025

KAMISHNA NCAA ATEMBELEA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI


NA MWANDISHI WETU

KAMISHINA wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Abdul-Razaq Badru ametembelea vikundi vya ujasiriamali kutoka Wilaya za Karatu na Ngorongoro mkoani Arusha ambavyo vimewezeshwa na NCAA kushiriki maonesho ya 49 ya biashara ya kimataifa sabasaba.


Vikundi hivyo vimewezeshwa kushiriki maonyesho hayo  ili kuonesha  na kuuza bidhaa za kiutamaduni na kiasili kama vile asali, shanga na vinyago kwa wageni mbalimbali wanaotembelea maonyesho hayo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment