KARDINAL PENGO AFARIKI DUNIA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, February 19, 2026

KARDINAL PENGO AFARIKI DUNIA


 Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo amefariki dunia.


Katika taarifa yake Askofu Mkuu wa Jimbo Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Yude Ruwai'chi amesema Pengo amefariki usiku wa Februari 19 mwaka huu alipokuwa akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini 


Endelea kufuatilia kurasa zetu tutakuletea taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi.

No comments:

Post a Comment