KATIBU MKUU MRAMBA ATEMBELEA MAONESHO YA KIZIMKAZI 2026 - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, August 14, 2026

KATIBU MKUU MRAMBA ATEMBELEA MAONESHO YA KIZIMKAZI 2026


 NA MWANDISHI WETU, KIZIMKAZI Z' BAR

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba, ametembelea Banda la Wizara ya Nishati na taasisi zake katika Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi 2026, yanayofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. 


Akiwa katika banda hilo, Mhandisi Mramba amepokea maelezo kuhusu huduma zinazotolewa kwa wananchi, pamoja na shughuli na miradi mbalimbali inayotekelezwa katika sekta ya nishati.


Miongoni mwa maeneo aliyopata maelezo ni pamoja na huduma na miradi inayohusu umeme, mafuta, gesi asilia na nishati safi ya kupikia, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na nishati ya uhakika.

No comments:

Post a Comment