DK MWAKYEMBE AKABIDHI RASMI OFISI KWA PROF. PARAMAGAMBA KABUDI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 30, 2017

DK MWAKYEMBE AKABIDHI RASMI OFISI KWA PROF. PARAMAGAMBA KABUDI


 Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe akimkabidhi Taarifa Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi katika makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Makao Makuu ya Wizara yaliyoko Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe aliyesimama akizungumza katika hafla ya kukabidhi Ofisi kwa Waziri Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi (aliyekaa kulia kwake) na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Katiba na ufuatiliaji Haki Wizarani Bw. Patience Ntwina.
  Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju (aliesimama) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya Ofisi katika ya  Waziri Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi (kushoto kwake) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe aliekaa kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizarani Bw. Aloyce Mwogofu.

 Baadhi ya watumishi wa Wizara wakishuhudia makabidhiano hayo ya ofisi yalipofanyika Wizarani kati ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na  Waziri Katiba na Sheria Prof Palamagamba Kabudi
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akisaini kitabu cha wageni
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe akizungumza mara baada ya kukabidhi ofisi.

No comments:

Post a Comment