MAHAKAMA:PETER LIJUALIKALI HANA HATIA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, March 30, 2017

MAHAKAMA:PETER LIJUALIKALI HANA HATIA


Mahakama Kuu, masijala kuu ya Dar es Salaam imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya wilaya Kilombero dhidi ya mbunge wa Kilombero, Mhe.Peter Lijualikali. Mahakama kuu imekubadiliana na hoja za mawakili wa upande wa utetezi katika rufaa iliyowasilishwa mahakamani hapo na hivyo kumuachia Lijualikali huru  mawakili wasomi wa Chadema.

No comments:

Post a Comment