TEJA AFARIKI HUKU AKIWA AMEJIDUNGA SINDANO YENYE DAWA ZA KULEVYA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, March 15, 2017

TEJA AFARIKI HUKU AKIWA AMEJIDUNGA SINDANO YENYE DAWA ZA KULEVYA


Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa  baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.

Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning’inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.

No comments:

Post a Comment