MKUTANO WA BARAZA LA CCM WILAYA YA KUSINI UNGUJA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, December 27, 2022

MKUTANO WA BARAZA LA CCM WILAYA YA KUSINI UNGUJA

 Mbunge wa viti Maalum wanawake Mkoa wa Kusini Unguja, Mwatum Dau Haji  na wajumbe wake  wakishangilia mara baada ya kuwasili katika ufunguzi wa mkutano wa baraza la Wilaya ya Kusini Unguja uliyofanyika katika tawi la Makunduchi Mkoa huo.  Mbunge wa viti Maalum wanawake Mkoa wa Kusini Unguja Mwatum Dau Haji, akizungumza na wajumbe (hawapopichani) waliofika katika ufunguzi wa mkutano wa baraza la Wilaya ya Kusini Unguja na kujadili ripoti ya utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi wa (CCM) mwaka 2020 hadi mwaka 2025 uliyofanyika katika tawi la Makunduchi Mkoa huo. 

Mbunge wa viti Maalum wanawake Mkoa wa Kusini Unguja, Mwatumu Dau Haji, akipatiwa neno la shukurani na Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania Wilaya ya Kusini, Mwanamvua Mwinyi Juma, mara baada ya kuzungumza na wajumbe walifika katika ufunguzi wa Mkutano wa baraza la Wilaya ya Kusini Unguja uliyofanyika katika tawi la Makunduchi Mkoa huo.

No comments:

Post a Comment