Wednesday, August 9, 2023
New
MTENDAJI MKUU WA BRELA AKIPONGEZA CHUO KIKUU CHA MZUMBE UJENZI WA BWENI LA KIKE MBEYA
Afisa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa,
(katikati aliyekaa) akiwa na jopo la baadhi ya watumishi, na wanataaluma wa
Chuo Kikuu Mzumbe mara baada ya kumaliza ziara yake fupi katika Banda la Chuo
hicho, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nanenane Agosti 7,2023 Jijini
Mbeya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)







No comments:
Post a Comment