BALOZI WA RWANDA AMALIZA MUDA WAKE AAGANA NA RAIS DKT SAMIA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, April 23, 2024

BALOZI WA RWANDA AMALIZA MUDA WAKE AAGANA NA RAIS DKT SAMIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao wakati Balozi Fatou alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania Leo, Aprili 23, 2024.




No comments:

Post a Comment