DKT SAMIA ATETA NA RAIS WA KOICA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, June 4, 2024

DKT SAMIA ATETA NA RAIS WA KOICA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA), Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024 ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.





No comments:

Post a Comment