DKT. BITEKO AMFARIJI HALIMA MDEE - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, July 31, 2024

DKT. BITEKO AMFARIJI HALIMA MDEE


NA MWANDISHI WETU

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee leo Julai 31,2024.


Dkt. Biteko amefika na kumfariji, Halima Mdee kufuatia msiba huo uliotokea tarehe 30 Julai, 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu jijini Dodoma.




No comments:

Post a Comment