NARGIS AIFAGILIA CHAI YA TANZANIA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, July 4, 2024

NARGIS AIFAGILIA CHAI YA TANZANIA



NA MWANDISHI WETU      

MISS Tanzania namba tatu mwaka  2003, Nargis Mohamed ametembelea Banda la Chai kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam (DITF-2024) na amevutiwa na ladha ya chai inayozalishwa hapa nchini.


Nargis amesema kuwa chai ya Tanzania ina ladha halisi ya chai huku akiwataka wananchi kuiunga mkono kwa kuinunua kwa wingi.


Nargis ambaye pia ni mkulima wa Parachichi wilayani Mafinga amesema jitihada za Rais Samia Suluhu  Hassan ya kuwekeza fedha nyingi katika kilimo, zimerahisisha shughuli za kilimo ambapo kwa upande wake ameona faida za jitihada hizo.

No comments:

Post a Comment