NA MWANDISHI WETU
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipatia Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Shilingi Milioni 700 kwa kufuzu Mashindano ya AFCON mwaka 2025 nchini Morocco, baada ya leo kuifunga Guinea bao, 1 - 0 Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo na amewahakikishia wachezaji na viongozi wa Timu hiyo kuwa fedha hizo tayari zimishawekwa katika akaunti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.





No comments:
Post a Comment