NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha kujadili pendekezo la Kampuni ya Istogen ya Afrika Kusini kuhusu ujenzi wa hospitali Binafsi Mji wa Serikali Mtumba, kikao hicho kimefanyika kwa njia ya mtandao (Online meeting) tarehe 3 Machi, 2025 katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wajumbe akiwemo Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Istogen Investments Holdings kutoka Afrika Kusini,
Mwingine ni Anele Nene, Mkurugenzi wa Idara ya Uwezeshaji Kiuchumi na Maendeleo ya Sekta Binafsi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Condrad Millinga, Amani Tenga, Omary Hassan pamoja na Mussa Maghibi.
No comments:
Post a Comment