NA MWANDISHI WETU
BAADHI ya viongozi waliokuwa wa Sekretarieti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wameng'oka ndani ya chama hicho kwa madai ya kuchoshwa na vitengo vya udikteta, udhalilishaji, kunyanyapaliwa na kuitwa 'Team Mbowe'
Kwa Mujibu wa Benson Kigaila wajumbe ambao wamejiondoa CHADEMA ni yeye binafsi, John Mrema, Salum Mwalimu, Julius Mwita, Catherine Ruge na Wengineo.
Benson muda huu anaendelea kuekeza Sababu mbalimbali muda huu jijini Dar es Salaam mbele ya Waandishi wa Habari.
Endelea kufuatilia.....





No comments:
Post a Comment