DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE MGANGA NGELEJA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, July 22, 2025

DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MZEE MGANGA NGELEJA


NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ahani msiba wa Baba Mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai, 16, 2025 na kuzikwa jana (Julai 21, 2025) Kijijini kwake Bitoto, Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza.





No comments:

Post a Comment