FURSA ZA UTALII NA UWEKEZAJI NGORONGORO ZANADIWA UJERUMANI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, September 26, 2025

FURSA ZA UTALII NA UWEKEZAJI NGORONGORO ZANADIWA UJERUMANI


Naibu Kamishna wa Uhifadhi, Huduma za Shirika Ngorongoro, Aidan Makalla (kulia) akiwa ameambatana na Abdiel Laizer Ofisa Utalii Mkuu Msaidizi amekutana na Mawakala mbalimbali wa utalii kunadi Fursa za Utalii na uwekezaji zilizopo Ngorongoro katika Maonesho ya "My Tanzania Roadshow 2025 Europe" yayofanyika katika miji ya Stuttgat - Ujerumani, Salzbug- Austria; Ljubljana - Slovania and mji wa Milan Nchini Italia kuanzia tarehe 22- 27 Septemba, 2025.


Maonesho hayo ambayo uandaliwa na Kampuni ya KILIFAIR ni moja ya majukwaa ya kipekee yanayolenga kutangaza vivutio vya utalii na kuitangaza Tanzania kama kitovu cha Utalii ktika soko la Ulaya ambapo zaidi ya Kampuni 80 kutoka Tanzania na Ujerumani zinashiriki maonesho hayo.




No comments:

Post a Comment