TANESCO YAZINDUA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME KWA GESI ASILIA MTWARA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Monday, October 27, 2025

TANESCO YAZINDUA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME KWA GESI ASILIA MTWARA


Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi mtambo wa kuzalisha umeme kwa gesi asilia wenye uwezo wa megawati 20 na kuifanya mikoa ya Mtwara na Lindi kuwa na jumla ya takribani megawati 77.5 ilhali mahitaji ya juu kwa sasa ni megawati 38 pekee.




No comments:

Post a Comment