NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI Simba Beverages Limited (SBL) imezindua kinywaji kipya kwa ajili ya Watanzania kinachoitwa Vin Nkolomboka.
Akitambulisha kinywaji hicho leo, jijini Dar es Salaam, kwa niaba ya kampuni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Civido, Dominick Salamba amesema kinywaji kimezingatia masharti yote kupitia mamlaka husika
"Nawaomba Watanzania watumie kinywaji hicho kwa maana ni cha asili na kinaongeza nguvu na hakina madhara kwa mtumiaji,"amesema.





No comments:
Post a Comment