GWAJIMA : MIMI NI MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA UKIWEKA MGUU UNAGEUKA SEMBE - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Monday, March 6, 2017

GWAJIMA : MIMI NI MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA UKIWEKA MGUU UNAGEUKA SEMBE


SeeBait
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe. 


Gwajima amesema hayo katika ibada jijini Dar es Salaam jana na kueleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote." 

"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."


Msikilize LIVE Hapo chini

You might also like:

No comments:

Post a Comment