MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, December 16, 2022

MAJALIWA AKAGUA KITUO KIKUU CHA MABASI SUMBAWANGA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Sumbawanga wakiwa katika ziara ya kikazi mkoani Rukwa, leo Desemba 16, 2022. Kulia kake ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Queen Sendiga.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akijadili jambo na Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga, Jacob Mtalitinyi (kulia) wakati alipokagua Kituo Kikuu cha Mabasi cha Sumbawanga  akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Rukwa, leo Desemba 16, 2022.  Katikati na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment