*********************************
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amewasili mkoani Mtwara kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Kiongozi huyo amewasili leo, mkoani humo na mara baada ya kuwasili amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Abbas Ahmed akiambatana na viongozi wengine wa mkoa huo.









No comments:
Post a Comment