NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AZUNGUMZA NA KARDINALI RUGAMBWA MKOANI TABORA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, November 19, 2023

NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AZUNGUMZA NA KARDINALI RUGAMBWA MKOANI TABORA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea zawadi ya Picha kutoka kwa Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora  tarehe 19 Novemba, 2023.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akipokea zawadi ya Miavuli kutoka kwa Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora  tarehe 19 Novemba, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu,  Paul Ruzoka na Askofu Mkuu Mpya wa Tabora, Mwadhama Protase Kardinali  Rugambwa katika Makazi ya Baba Askofu  mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye picha ya pamoja  na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo la Tabora,  Paul Ruzoka na Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la  Tabora, Mwadhama Protase Kardinali  Rugambwa mara baada ya mazungumzo yao katika Makazi ya Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Mhasham Askofu Mkuu Mstaafu, Paul  Ruzoka mara baada ya kuwasili katika Makazi ya Baba Askofu mkoani Tabora tarehe 19 Novemba, 2023

No comments:

Post a Comment