DKT SAMIA AAGANA NA RAIS WA ROMANIA IKULU DAR ES SAALAAM - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, November 19, 2023

DKT SAMIA AAGANA NA RAIS WA ROMANIA IKULU DAR ES SAALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilisha ziara yake nchini Tanzania tarehe 19 Novemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.  Klaus Iohannis wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye hafla ya kumuaga baada ya kukamilisha ziara yake nchini Tanzania, katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Novemba 2023.


No comments:

Post a Comment