DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, April 10, 2024

DKT. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGORO

 


NA MWANDISHI WETU

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen Mashishanga nyumbani kwake, Mtaa wa Forest, Mkoani Morogoro Aprili 11, 2024.



No comments:

Post a Comment