DC MPOGOLO ATUA KITUNDA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA KATA NNE LEO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Thursday, September 12, 2024

DC MPOGOLO ATUA KITUNDA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WANANCHI WA KATA NNE LEO


NA MWANDISHI WETU


MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogogolo, leo anaendelea na ziara yake katika Jimbo la Ukonga yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za wanchi.


Mkuu wa Wilaya atasililizs kero za wananchi wa kata nne za Kipunguni,Gongo la mboto, Mzinga na Pugu station.


Mkutano wa hadhara unafanyika katika  viwanja vya Kitunda mnadani.

No comments:

Post a Comment