TIYARI NIMEPIGA KURA, WEWE JE? - MBUNGE BYABATO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Wednesday, November 27, 2024

TIYARI NIMEPIGA KURA, WEWE JE? - MBUNGE BYABATO

 


Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato leo Tarehe 27 Novemba 2024 amepiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kituo cha Chuo Huria Mtaa wa Migera - Nshambya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.





No comments:

Post a Comment