Viongozi wa ACT Wazalendo wakiongozwa na Kiongozi wa Chama hicho Dorothy Semu na viongozi wa ADC wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Shaaban Itutu wamekutana Jijini Dar es salaam leo, Desemba 11, 2024 kwa ajili ya kujadiliana namna ya kuimarisha mshikamano baina ya vyama hivyo.
No comments:
Post a Comment