DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UWEKWAJI WAKFU ASKOFU MTEULE JIMBO LA IRINGA - MAGENDELA BLOG

Recent-Post

ads header

Sunday, April 27, 2025

DKT. BITEKO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UWEKWAJI WAKFU ASKOFU MTEULE JIMBO LA IRINGA


NA MWANDISHI WETU

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa, Aprili 27, 2025.


Dkt. Biteko anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule, Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.

No comments:

Post a Comment