DKT BUKALASA ATIA NIA KUWANIA JIMBO LA UBUNGO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Monday, June 30, 2025

DKT BUKALASA ATIA NIA KUWANIA JIMBO LA UBUNGO


NA MWANDISHI WETU


KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samson Bukulasa, amejitosa kuchukua fomu kuwania Jimbo la Ubungo, jijini Dar es Salaam.


Bukulasa amechukua fomu leo, Juni 30, 2025 na kusisitiza kwamba amejitathimini  na kuona anatosha kuwa kwenye nafasi hiyo


"Nikiwa kama mtia nia kwenye jimbo hili, kama jina langu litarudi nitaeleza dhamira ya kuingia katika kinyanga'nyiro hiki,"  amesema.

No comments:

Post a Comment