SAIDA BAWAZIR ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI (W) UBUNGO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, June 29, 2025

SAIDA BAWAZIR ACHUKUA FOMU KUWANIA UDIWANI (W) UBUNGO



NA MWANDISHI WETU


SAIDA Bawazir, kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya Ubungo, amejitosa kuchukua fomu ya kuwania Udiwani, Viti Maalumu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)


"Nimejipima kupitia utendaji wangu ndani ya CCM kwa pindi cha miaka miwili ya kutumikia katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama, naamini naweza kutumikia nafasi ya udiwani Viti Maalumu kwenye Wilaya ya Ubungo kupitia UWT," amesema.



Saida amesema hayo, leo Juni 29, 2025 mbele ya Waandishi wa Habari wakati akitoka kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Ofisi Kuu ya Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.


Ameongeza kuwa, "kikubwa anahitaji dua za wananchi na wanaUWT ili kufanikisha lengo ambalo amekusudia," amesema.

No comments:

Post a Comment