Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Abdallah Mpokwa akimkabidhi fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Rungwe, Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda, Mwakagenda katika uchaguzi wa mwaka 2020 alipata zaidi ya kura 30,000 akigombea kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA)Mbunge wa Viti Maalumu Sophia Mwakagenda akionesha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Rungwe mkoani Mbeya.
Wagombea ubunge jimbo la Rungwe wakisalimiana baada ya kuchukua fomu ya kugombea
No comments:
Post a Comment