NA MWANDISHI WETU
WADAU mbalimbali wamejitokeza kupata elimu kuhusu ya Nishati Safi ya Kupikia kwenye Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (SabaSaba) yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Wizara ya Nishati inaendelea kueleza Mafanikio na Mipango ya kuiendeleza Sekta ya Nishati kupitia Maonesho hayo.
No comments:
Post a Comment