BALOZI DKT. NCHIMBI AKABIDHI OFISI KWA KATIBU MKUU BALOZI DKT. MIGIRO - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Tuesday, August 26, 2025

BALOZI DKT. NCHIMBI AKABIDHI OFISI KWA KATIBU MKUU BALOZI DKT. MIGIRO

 


Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt,Emmanuel John Nchimbi ambaye kwa sasa ni Mgombea Mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) akimkabidhi nyaraka Katibu Mkuu mpya wa chama hicho Balozi Dkt.Asha Rose Migiro wakati wa makabidhiano rasmi ya Ofisi, yaliyofanyika leo Jumanne Agosti 26, 2025, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.





No comments:

Post a Comment