ATHUMANI ASAKWA KWA TUHUMA ZA KULAWITI - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Sunday, February 8, 2026

ATHUMANI ASAKWA KWA TUHUMA ZA KULAWITI


NA MWANDISHI WETU

MTU aliyefahamika jina Athuman Ally anasakwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,kwa kosa la kumlawiti mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka 7 (jina limehifadhiwa).


Katika ya jeshi la polisi Mtuhumiwa kutenda tukio hilo Januari 29,2026 majira ya saa sita mchana huko Soweto Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro na baada ya kufanya hivyo alitoroka.


Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, linatoa wito kwa yeyote mwenye taarifa za kuweza kusaidia kumkamata asisite kutoa ushirikiano huo muhimu ili hatua zingine za kisheria ziweze kufuata. 

Credit - EastAfricaTV

No comments:

Post a Comment