KING CLASS MAWE KESHO KUKINUKISHA NCHINI THAILAND - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Friday, February 27, 2026

KING CLASS MAWE KESHO KUKINUKISHA NCHINI THAILAND


NA MWANDISHI WETU 

BONDIA Ibrahim Class, 'King Class Mawe', leo amepima uzito nchini Thailand kwa ajili ya kuzitwanga  dhidi ya Krittiphak Duangnut, hiyo kesho.

Katika pambano hilo la kesho February 28,2026 anatarajia kucheza pambano la ubingwa wa WBC Silver (World Boxing Council Silver Super Featherweight kg 59 Sla raundi 10.


Pambano hilo limeandaliwa na Highland Naris Boxing Promotion na litafanyika kwenye Ukumbi wa World Siam Stadium jijini Bangkok nchini Thailand.



No comments:

Post a Comment