BAKWATA YAJIANDAA MCHAKATO WA UCHAGUZI WILAYA, MKOA - MAGENDELA BLOG

Breaking

Recent-Post

ads header

Saturday, May 23, 2026

BAKWATA YAJIANDAA MCHAKATO WA UCHAGUZI WILAYA, MKOA


NA MWANDISHI WETU

BARAZA la Waislamu Tanzania (BAKWATA), linatarajia kufanya uchaguzi kwa ngazi ya wilaya na mikoa hivi karibuni.


Katibu Mkuu wa (BAKWATA) Taifa, Alhaji Nuhu Mruma, amesema hayo leo jijini Dar es Salaam ambapo amewataka wanaotaka kugombea katika nafasi hizo kufuata utaratibu ili tarehe za chaguzi hizo zitakapotangzwa waingie kwenye kinyang"anyolo hicho.


"Nawaomba wale wote wanaotaka kugombea nafasi Kwa ngazi ya Wilaya na mikoa kuanza kufuata taratibu ili muda WA kufanya uchaguzi utakapotangazwa wawe na utayari kuingia katika kinyanga'anyilo hicho," amesema


No comments:

Post a Comment